Nyumbani

Welcome to the Serengeti-Lake Victoria (SELVA) Sustainable Water Initiative. We aim to understand water security for humans and ecosystems in the Mara River Basin, Tanzania
Welcome to the Serengeti-Lake Victoria (SELVA) Sustainable Water Initiative. We aim to understand water security for humans and ecosystems in the Mara River Basin, Tanzania
StoryMap - Journey with us through the Lower Mara River Basin.
StoryMap - Journey with us through the Lower Mara River Basin.
Our blog is a collection of posts that describe various water-related issues in the Mara River Basin, Tanzania.
Our blog is a collection of posts that describe various water-related issues in the Mara River Basin, Tanzania.
Data / Low Cost Monitoring - Monitoring stations now collect real-time information on flow and water quality in the Mara River.
Data / Low Cost Monitoring - Monitoring stations now collect real-time information on flow and water quality in the Mara River.
Open Data Kit (ODK) - The Open Data Kit facilitates information collection from local stakeholders about their water security - access, use, quality, and quantity.
Open Data Kit (ODK) - The Open Data Kit facilitates information collection from local stakeholders about their water security - access, use, quality, and quantity.

SELVA team with local Water Users Association, Mara River Basin, Tanzania © JC Veilleux 2016

Karibu! Mradi endelevu wa maji wa Serengeti na Ziwa Victoria [SELVA] ni utafiti wa kisayansi wenye nia ya kukusanya habari za kijamii, na kimazingira katika bonde la Mto Mara nchini Tanzania. Mradi huu unafadhiliwa na mfuko wa McArthur na unasimamiwa na Chuo kikuu cha Kimataifa cha Florida. Tafadhali tembelea kurasa mbalimbali za tovuti yetu kama vile “hifadhidata ya Mto Mara, hifadhidata ya Kimaeneo ya Mto Mara, tovuti ca washirika wa mradi, habari za papo kwa papo kutoka katika vituo vyetu vya hali ya hewa na vya utafiti wa maji, habari mbali mbali za Mto Mara na shughuli za SELVA nchini Tanzania.

Icon_Mission_Home

MPANGO

Malengo ya SELVA, utaratibu na mawazo juu ya mradi wa Mto Mara Tanzania.

Icons_Activity_Home

SHUGHULI

Habari mbali mbali za Safari za kitafiti za SELVA, ushirikiano, warsha na mihadhara.

Icons_Information_Home

MAELEZO

Ukusanyaji wa data, vyanzo mbalimbali, ramani, picha, na udhamini unaoletwa na wafanyakazi wa SELVA pamoja na washirika wetu..

Icons_External_Home

VYANZO VYA NJE

Tovuti za miradi inayohusiana na Mradi wa Mto Mara, Maelezo na tovuti mbalimbali.

Icons_News_Home

HABARI

Maelezo mbalimbali kuhusu bonde la Mto Mara toka mitandao ya kijamii, na Mitandao ya kawaida.

Icons_Coordination_Home

URATIBU

Maelezo mbalimbali kuhusu bonde la Mto Mara toka mitandao ya kijamii, na Mitandao ya kawaida.